ALICHO KISEMA ANCELOTI KUHUSU UHAMISHO WA DI MARIA



Kutokana na tetesi mbalimbali zinazomhusu winga hatari Angel Di Maria kuhamia katika klabu ya
Manchester United inayomuhitaji kwa udi na uvumba.
Meneja wa Real Madrid aliamua kuvunja ukimya na kusema haya "Sitaki kuliingilia
suala la Di Maria, kwa sababu litanipotezea
umakini wangu kuelekea mchezo dhidi ya Atletico.
Sijui mpaka sasa ameamua nini kuhusu hatma
yake, ninachofahamu yupo tayari kucheza, na
mpaka kufikia August 31 anaweza kuendela
kuwa hapa. Ikiwa mpaka wakati huo wa
dirisha la usajili litakapofungwa - akiendelea
kuwa hapa au asipokuwepo, tutalifikiria suala
hilo baadae."

 
Posted by Mr.Prime On Monday, August 18, 2014 |
 
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment